Ezekiel 46:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtawala anapotoka ni lazima auache ukumbi kwa njia ileile aliyoingia nayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkuu anayetawala atakapoingia, atapitia kwenye baraza ya njia ya lango, naye atatoka nje kwa njia hiyo hiyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye mkuu atakapoingia, ataingia kwa njia ya ukumbi wa lango lile, naye atatoka kwa njia iyo hiyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtawala anapotoka ni lazima auache ukumbi kwa njia ileile aliyoingia nayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati mkuu anayetawala aingiapo, atapitia kwenye baraza ya njia ya lango, naye atatoka nje kwa njia hiyo hiyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati mkuu anayetawala aingiapo, atapitia kwenye baraza ya njia ya lango, naye atatoka nje kwa njia hiyo hiyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye mkuu atakapoingia, ataingia kwa njia ya ukumbi wa lango lile, naye atatoka kwa njia hiyo hiyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtawala anapotoka ni lazima auache ukumbi kwa njia ileile aliyoingia nayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkuu akiingia aingie kwa njia ya ukumbi wa hilo lango, hata kutoka atoke kwa njia hiyohiyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye mkuu atakapoingia, ataingia kwa njia ya ukumbi wa lango lile, naye atatoka kwa njia iyo hiyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme anapotoka anapaswa kutokea kwa njia ileile aliyoingilia.