Ezekiel 47:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini sehemu zake zenye majimaji na mabwawa kando ya bahari, hazitakuwa na maji mazuri. Bali hayo yatabaki kuwa maji ya chumvi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini madimbwi yake na mabwawa yake hayatakuwa na maji yanayofaa kunywa, bali yatabakia kuwa maji ya chumvi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali mahali penye matope, na maziwa yake, hayataponywa; yataachwa yawe ya chumvi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini sehemu zake zenye majimaji na mabwawa kando ya bahari, hazitakuwa na maji mazuri. Bali hayo yatabaki kuwa maji ya chumvi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini madimbwi yake na mabwawa yake hayatakuwa na maji yanayofaa kunywa, bali yatabakia kuwa maji ya chumvi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini madimbwi yake na mabwawa yake hayatakuwa na maji yanayofaa kunywa, bali yatabakia kuwa maji ya chumvi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali mahali penye matope, na maziwa yake, hayataponywa; yataachwa yawe ya chumvi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini sehemu zake zenye majimaji na mabwawa kando ya bahari, hazitakuwa na maji mazuri. Bali hayo yatabaki kuwa maji ya chumvi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mabwawa na maziwa yaliyoko kando yake maji yao hayatageuzwa kuwa mazuri, yatatumiwa ya chumvi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali mahali penye matope, na maziwa yake, hayataponywa; yataachwa yawe ya chumvi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini sehemu zake zenye majimaji na tingitingi kandokando ya bahari, zitakuwa na maji mazuri. Lakini hayo yatabaki kuwa maji ya chumvi.