Ezekiel 47:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyote mtagawana sawa. Niliapa kuwa nitawapa wazee wenu nchi hii, nayo itakuwa mali yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtagawa kwa usawa miongoni mwao. Kwa sababu niliapa kwa mkono ulioinuliwa kuwapa baba zenu, nchi hii itakuwa urithi wenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi mtaimiliki, mtu huyu sawasawa na huyu; ambayo naliuinua mkono wangu kuwapa baba zenu; na nchi hii itawaangukia kuwa urithi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyote mtagawana sawa. Niliapa kuwa nitawapa wazee wenu nchi hii, nayo itakuwa mali yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtagawa kwa usawa miongoni mwao. Kwa sababu niliapa kwa mkono ulioinuliwa kuwapa baba zenu, nchi hii itakuwa urithi wenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtagawa kwa usawa miongoni mwao. Kwa sababu niliapa kwa mkono ulioinuliwa kuwapa baba zenu, nchi hii itakuwa urithi wenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi mtaimiliki, mtu huyu sawasawa na huyu; ambayo niliuinua mkono wangu kuwapa baba zenu; na nchi hii itawaangukia kuwa urithi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyote mtagawana sawa. Niliapa kuwa nitawapa wazee wenu nchi hii, nayo itakuwa mali yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtajigawanyia mafungu yaliyo sawasawa kwa kila mtu na ndugu yake, yawe yenu, kwa kuwa niliapa na kuuinua mkono wangu ya kwamba: Nitawapa baba zenu; kwa hiyo nchi hii itawaangukia kuwa mafungu yenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi mtaimiliki, mtu huyu sawasawa na huyu; ambayo naliuinua mkono wangu kuwapa baba zenu; na nchi hii itawaangukia kuwa urithi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi wote mutagawanyana sawa. Niliapa kuwa nitawapa babu zenu inchi hii, nayo itakuwa mali yenu.