Ezekiel 47:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upande wa kaskazini mpaka utapita kutoka Bahari ya Mediteranea, kuelekea mji wa Hethloni, hadi mahali pa kuingia Hamathi na kuendelea hadi Zedadi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Huu ndio utakuwa mpaka wa hiyo nchi: “Upande wa kaskazini utaanzia Bahari Kuu kwa njia ya Hethloni kupitia Lebo-Hamathi hadi maingilio ya Sedadi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na huu ndio mpaka wa nchi; upande wa kaskazini, toka bahari kubwa, kwa njia ya Hethloni, mpaka maingilio ya Sedada;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upande wa kaskazini mpaka utapita kutoka Bahari ya Mediteranea, kuelekea mji wa Hethloni, hadi mahali pa kuingia Hamathi na kuendelea hadi Zedadi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Huu ndio utakuwa mpaka wa hiyo nchi: Upande wa kaskazini utaanzia Bahari Kuu kwa njia ya Hethloni kupitia Lebo-Hamathi hadi maingilio ya Sedadi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Huu ndio utakuwa mpaka wa hiyo nchi: “Upande wa kaskazini utaanzia Bahari Kuu kwa njia ya Hethloni kupitia Lebo-Hamathi hadi maingilio ya Sedadi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na huu ndio mpaka wa nchi; upande wa kaskazini, toka bahari kubwa, kwa njia ya Hethloni, mpaka maingilio ya Sedada;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upande wa kaskazini mpaka utapita kutoka Bahari ya Mediteranea, kuelekea mji wa Hethloni, hadi mahali pa kuingia Hamathi na kuendelea hadi Zedadi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao huu ndio mpaka wa nchi hiyo: upande wa kaskazini toka kwenye Bahari Kubwa unakwenda Hetiloni kufika Sedadi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na huu ndio mpaka wa nchi; upande wa kaskazini, toka bahari kubwa, kwa njia ya Hethloni, mpaka maingilio ya Sedada;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Upande wa kaskazini mupaka utapita kutoka bahari ya Mediteranea, kuelekea muji wa Hetiloni, hata pahali pa kuingia Hamati na kuendelea mpaka Zedada.