Ezekiel 47:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule mtu, kwa ufito wake wa kupimia, akapima mita 500 kwenda chini upande wa mashariki, akanipitisha kwenye maji. Maji yalifika kwenye nyayo tu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu yule alipoenda upande wa mashariki akiwa na kamba ya kupimia mkononi mwake, akapima dhiraa elfu moja, kisha akanipitisha kwenye hayo maji ambayo yalifika kwenye vifundo vya miguu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na alipotoka mtu yule, mwenye uzi wa kupimia mkononi mwake, kwenda masharikini, akapima dhiraa elfu, akanivusha maji yale; maji yakafika mpaka viweko vya miguu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule mtu, kwa ufito wake wa kupimia, akapima mita 500 kwenda chini upande wa mashariki, akanipitisha kwenye maji. Maji yalifika kwenye nyayo tu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu yule alipokwenda upande wa mashariki akiwa na kamba ya kupimia mkononi mwake, akapima dhiraa 1,000 kisha akanipitisha kwenye hayo maji ambayo yalifika kwenye vifundo vya miguu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu yule alipokwenda upande wa mashariki akiwa na kamba ya kupimia mkononi mwake, akapima dhiraa 1,000 kisha akanipitisha kwenye hayo maji ambayo yalifika kwenye vifundo vya miguu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na alipotoka mtu yule, mwenye uzi wa kupimia mkononi mwake, akielekea mashariki, akapima dhiraa elfu moja, akanivusha maji yale; maji yakafika mpaka katika vifundo vya miguu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule mtu, kwa ufito wake wa kupimia, akapima mita 500 kwenda chini upande wa mashariki, akanipitisha kwenye maji. Maji yalifika kwenye nyayo tu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yule mtu akatoka kwenda maawioni kwa jua akishika kamba ya kupimia mkononi, akapima mikono elfu, akanipitisha humo majini, yakafika penye viwiko vya miguu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na alipotoka mtu yule, mwenye uzi wa kupimia mkononi mwake, kwenda masharikini, akapima dhiraa elfu, akanivusha maji yale; maji yakafika mpaka viweko vya miguu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule mutu akapima kwa ufito wake, akapima metre mia tano kwenda chini upande wa mashariki, akanipitisha kwenye maji. Maji yalifika kwenye miguu tu.