Ezekiel 47:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule mtu akaniambia, “Wewe mtu! Zingatia mambo hayo yote kwa makini.” Kisha, akanirudisha mpaka ukingo wa mto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaniuliza, “Je, mwanadamu, unaona hili?” Kisha akanirudisha kwenye ukingo wa huo mto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaniambia, Mwanadamu, je! Umeona haya? Kisha akanichukua akanirudisha mpaka ukingo wa mto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule mtu akaniambia, “Wewe mtu! Zingatia mambo hayo yote kwa makini.” Kisha, akanirudisha mpaka ukingo wa mto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaniuliza, “Je, mwanadamu, unaona hili?” Kisha akanirudisha mpaka kwenye ukingo wa huo mto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaniuliza, “Je, mwanadamu, unaona hili?” Kisha akanirudisha mpaka kwenye ukingo wa huo mto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaniambia, Mwanadamu, je! Umeona haya? Kisha akanichukua akanirudisha mpaka ukingo wa mto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule mtu akaniambia, “Wewe mtu! Zingatia mambo hayo yote kwa makini.” Kisha, akanirudisha mpaka ukingo wa mto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaniuliza: umeona, mwana wa mtu? Kisha akanirudisha, nikienda kwa miguu kandokando ya mto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaniambia, Mwanadamu, je! Umeona haya? Kisha akanichukua akanirudisha mpaka ukingo wa mto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule mutu akaniambia: Wewe mwanadamu! Shika mambo hayo yote kwa uangalifu. Kisha, akanirudisha mpaka kwenye ukingo wa muto.