Ezekiel 48:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Eneo hilo litakuwa kwa ajili ya makuhani wa wazawa wa Sadoki, ambao walinitumikia kwa uaminifu na hawakuasi wakati Waisraeli walipoasi kama Walawi walivyofanya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hii itakuwa kwa ajili ya makuhani waliowekwa wakfu, Wasadoki, waliokuwa waaminifu katika kunitumikia, nao hawakupotoka kama Walawi walivyofanya wakati Waisraeli walipopotoka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Patakuwa kwa makuhani wa wana wa Sadoki, waliotakasika, walioulinda ulinzi wangu, wasioasi, wana wa Israeli walipoasi, kama Walawi walivyoasi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Eneo hilo litakuwa kwa ajili ya makuhani wa wazawa wa Sadoki, ambao walinitumikia kwa uaminifu na hawakuasi wakati Waisraeli walipoasi kama Walawi walivyofanya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii itakuwa kwa ajili ya makuhani waliowekwa wakfu, Wasadoki, ambao walikuwa waaminifu katika kunitumikia nao hawakupotoka kama Walawi walivyofanya wakati Waisraeli walipopotoka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii itakuwa kwa ajili ya makuhani waliowekwa wakfu, Wasadoki, waliokuwa waaminifu katika kunitumikia nao hawakupotoka kama Walawi walivyofanya wakati Waisraeli walipopotoka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Patakuwa kwa makuhani wa wana wa Sadoki, waliotakasika, waliofuata maagizo yangu, wasioasi, wana wa Israeli walipoasi, kama Walawi walivyoasi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Eneo hilo litakuwa kwa ajili ya makuhani wa wazawa wa Sadoki, ambao walinitumikia kwa uaminifu na hawakuasi wakati Waisraeli walipoasi kama Walawi walivyofanya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Fungu hilo liwe lao watambikaji waliotakaswa, walio wana wa Sadoki, walioyaangalia, niliyowaambia, wayaangalie; ndio wasiopotea hapo, wana wa Isiraeli walipopotea, kama Walawi walivyopotea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Patakuwa kwa makuhani wa wana wa Sadoki, waliotakasika, walioulinda ulinzi wangu, wasioasi, wana wa Israeli walipoasi, kama Walawi walivyoasi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Eneo hilo litakuwa kwa ajili ya makuhani wa uzao wa Zadoki, ambao walinitumikia kwa uaminifu na hawakuasi wakati Waisraeli walipoasi kama Walawi walivyofanya.