Ezekiel 48:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hilo litakuwa eneo lao maalumu kutoka katika eneo takatifu la nchi, eneo takatifu kabisa, litakalopakana na eneo la Walawi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Itakuwa toleo maalum kwao kutoka sehemu takatifu ya nchi, yaani sehemu takatifu sana, inayopakana na nchi ya Walawi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na matoleo hayo ya nchi yatolewayo, yatakuwa kwao kitu kitakatifu sana, karibu na mpaka wa Walawi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hilo litakuwa eneo lao maalumu kutoka katika eneo takatifu la nchi, eneo takatifu kabisa, litakalopakana na eneo la Walawi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Itakuwa toleo maalum kwao kutoka katika sehemu takatifu ya nchi, yaani, sehemu takatifu sana, inayopakana na nchi ya Walawi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Itakuwa toleo maalum kwao kutoka sehemu takatifu ya nchi, yaani, sehemu takatifu sana, inayopakana na nchi ya Walawi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na matoleo hayo ya nchi yatolewayo, yatakuwa kwao kitu kitakatifu sana, karibu na mpaka wa Walawi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hilo litakuwa eneo lao maalumu kutoka katika eneo takatifu la nchi, eneo takatifu kabisa, litakalopakana na eneo la Walawi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo hapo patakuwa fungu lao, ni kipande cha lile fungu la kueuliwa lililo nchi takatifu yenyewe kwenye mpaka wa Walawi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na matoleo hayo ya nchi yatolewayo, yatakuwa kwao kitu kitakatifu sana, karibu na mpaka wa Walawi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hilo litakuwa eneo lao takatifu kutoka katika eneo takatifu la inchi, eneo takatifu kabisa, litakalopakana na eneo la Walawi.