Ezekiel 48:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao Walawi, eneo lao litakuwa kusini mwa eneo la makuhani. Eneo hilo litakuwa na urefu wa kilomita kumi na mbili u nusu kutoka mashariki hadi magharibi, na upana kilomita 5 kutokea kaskazini hadi kusini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kando ya nchi ya makuhani, Walawi watakuwa na mgawo wa urefu wa dhiraa elfu ishirini na tano, na upana wa dhiraa elfu kumi. Urefu wake utakuwa jumla dhiraa elfu ishirini na tano, na upana wa dhiraa elfu kumi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kuukabili mpaka wa makuhani, Walawi watakuwa na fungu, urefu wake ishirini na tano elfu, na upana wake elfu kumi; urefu wote utakuwa ishirini na tano elfu, na upana wake elfu kumi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao Walawi, eneo lao litakuwa kusini mwa eneo la makuhani. Eneo hilo litakuwa na urefu wa kilomita kumi na mbili u nusu kutoka mashariki hadi magharibi, na upana kilomita 5 kutokea kaskazini hadi kusini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kando ya nchi ya makuhani, Walawi watakuwa na mgawo wa urefu wa dhiraa 25,000 na upana wa dhiraa 10,000. Urefu wake utakuwa jumla dhiraa 25,000 na upana wa dhiraa 10,000.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kando ya nchi ya makuhani, Walawi watakuwa na mgawo wa urefu wa dhiraa 25,000 na upana wa dhiraa 10,000. Urefu wake utakuwa jumla dhiraa 25,000 na upana wa dhiraa 10,000.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kuukabili mpaka wa makuhani, Walawi watakuwa na fungu, urefu wake mianzi elfu ishirini na tano, na upana wake mianzi elfu kumi; urefu wote utakuwa mianzi elfu ishirini na tano, na upana wake mianzi elfu kumi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao Walawi, eneo lao litakuwa kusini mwa eneo la makuhani. Eneo hilo litakuwa na urefu wa kilomita kumi na mbili u nusu kutoka mashariki hadi magharibi, na upana kilomita 5 kutokea kaskazini hadi kusini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena Walawi wapate kandokando ya mpaka wa watambikaji mahali penye urefu wa mianzi 25000, nao upana uwe mianzi 10000; urefu wote uwe mianzi 25000, nao upana wote uwe mianzi 10000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kuukabili mpaka wa makuhani, Walawi watakuwa na fungu, urefu wake ishirini na tano elfu, na upana wake elfu kumi; urefu wote utakuwa ishirini na tano elfu, na upana wake elfu kumi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao Walawi, eneo lao litakuwa upande wa kusini wa eneo la makuhani. Eneo hilo litakuwa na urefu wa kilometre kumi na mbili na nusu kutoka mashariki mpaka magaribi, na upana kilometre tano kutokea kaskazini mpaka kusini.