Ezekiel 48:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ile sehemu ya eneo maalumu iliyobaki, yenye urefu wa kilomita kumi na mbili u nusu na upana kilomita 2.5, hilo ni kwa matumizi ya kawaida ya mji: Mahali pa kuishi na eneo la mashamba. Katikati yake kutakuwa na mji,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Eneo linalobaki lenye upana wa dhiraa elfu tano, na urefu wa dhiraa elfu ishirini na tano litakuwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya mji, kwa ajili ya ujenzi wa nyumba na maeneo ya malisho. Mji utakuwa katikati yake
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mianzi elfu tano iliyosalia katika upana, kuikabili hiyo ishirini na tano elfu, itatumiwa na watu wote, kwa huo mji, na kwa maskani, na kwa viunga, na huo mji utakuwa katikati yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ile sehemu ya eneo maalumu iliyobaki, yenye urefu wa kilomita kumi na mbili u nusu na upana kilomita 2.5, hilo ni kwa matumizi ya kawaida ya mji: mahali pa kuishi na eneo la mashamba. Katikati yake kutakuwa na mji,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Eneo linalobaki lenye upana wa dhiraa 5,000 na urefu wa dhiraa 25,000, litakuwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya mji, kwa ajili ya ujenzi wa nyumba na malisho. Mji utakuwa katikati yake
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Eneo linalobaki lenye upana wa dhiraa 5,000 na urefu wa dhiraa 25,000, litakuwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya mji, kwa ajili ya ujenzi wa nyumba na malisho. Mji utakuwa katikati yake
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mianzi elfu tano iliyosalia katika upana, kuikabili hiyo elfu ishirini na tano, itatumiwa na watu wote, kwa huo mji, na kwa maskani, na kwa viunga, na huo mji utakuwa katikati yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ile sehemu ya eneo maalumu iliyobaki, yenye urefu wa kilomita kumi na mbili u nusu na upana kilomita 2.5, hilo ni kwa matumizi ya kawaida ya mji: Mahali pa kuishi na eneo la mashamba. Katikati yake kutakuwa na mji,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yale 5000 yatakayosalia kwa upana wa mianzi wa 25000 yawe mali ya huo mji wote, watu wapate pa kukaa na pa kulisha, huo mji wenyewe ukiwa katikati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mianzi elfu tano iliyosalia katika upana, kuikabili hiyo ishirini na tano elfu, itatumiwa na watu wote, kwa huo mji, na kwa maskani, na kwa viunga, na huo mji utakuwa katikati yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ile sehemu ya eneo takatifu iliyobaki, yenye urefu wa kilometre kumi na mbili na nusu na upana kilometre mbili na nusu, hilo ni kwa matumizi ya kawaida ya muji: pahali pa kuishi na eneo la mashamba. Katikati yake kutakuwa muji,