Ezekiel 48:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nao utakuwa wa mraba, kila upande mita 2,250.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nao utakuwa na vipimo hivi: upande wa kaskazini dhiraa elfu nne na mia tano, upande wa kusini dhiraa elfu nne na mia tano, upande wa mashariki dhiraa elfu nne na mia tano, na upande wa magharibi dhiraa elfu nne na mia tano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na vipimo vyake ni hivi; upande wa kaskazini elfu nne na mia tano, na upande wa kusini elfu nne na mia tano, na upande wa mashariki elfu nne na mia tano, na upande wa magharibi elfu nne na mia tano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nao utakuwa wa mraba, kila upande mita 2,250.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nao utakuwa na vipimo hivi: upande wa kaskazini dhiraa 4,500, upande wa kusini dhiraa 4,500, upande wa mashariki dhiraa 4,500 na upande wa magharibi dhiraa 4,500.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nao utakuwa na vipimo hivi: upande wa kaskazini dhiraa 4,500, upande wa kusini dhiraa 4,500, upande wa mashariki dhiraa 4,500 na upande wa magharibi dhiraa 4,500.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na vipimo vyake ni hivi; upande wa kaskazini mianzi elfu nne na mia tano, na upande wa kusini mianzi elfu nne na mia tano, na upande wa mashariki mianzi elfu nne na mia tano, na upande wa magharibi mianzi elfu nne na mia tano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nao utakuwa wa mraba, kila upande mita 2,250.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vipimo vyake viwe hivyo: upande wa kaskazini mianzi 4500, upande wa kusini mianzi 4500, upande wa maawioni kwa jua mianzi 4500, upande wa baharini mianzi 4500.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na vipimo vyake ni hivi; upande wa kaskazini elfu nne na mia tano, na upande wa kusini elfu nne na mia tano, na upande wa mashariki elfu nne na mia tano, na upande wa magharibi elfu nne na mia tano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nao utakuwa wa muraba, kila upande metre elfu mbili mia mbili na makumi tano.