Ezekiel 48:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuuzunguka mji, kutakuwa na eneo wazi lenye upana wa mita 125.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Eneo la malisho kwa ajili ya mji litakuwa na eneo la dhiraa mia mbili na hamsini upande wa kaskazini, dhiraa mia mbili na hamsini upande wa kusini, dhiraa mia mbili na hamsini upande wa mashariki, na dhiraa mia mbili na hamsini upande wa magharibi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao mji utakuwa na malisho; upande wa kaskazini mia mbili na hamsini, na upande wa kusini mia mbili na hamsini, na upande wa mashariki mia mbili na hamsini, na upande wa magharibi mia mbili na hamsini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuuzunguka mji, kutakuwa na eneo wazi lenye upana wa mita 125.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sehemu ya malisho kwa ajili ya mji itakuwa na eneo la dhiraa 250 upande wa kaskazini, dhiraa 250 upande wa kusini, dhiraa 250 upande wa mashariki na dhiraa 250 upande wa magharibi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sehemu ya malisho kwa ajili ya mji itakuwa na eneo la dhiraa 250 upande wa kaskazini, dhiraa 250 upande wa kusini, dhiraa 250 upande wa mashariki na dhiraa 250 upande wa magharibi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao mji utakuwa na malisho; upande wa kaskazini mianzi mia mbili na hamsini, na upande wa kusini mianzi mia mbili na hamsini, na upande wa mashariki mianzi mia mbili na hamsini, na upande wa magharibi mianzi mia mbili na hamsini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuuzunguka mji, kutakuwa na eneo wazi lenye upana wa mita 125.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mahali pa mji pa kulisha pawe upande wa kaskazini mianzi 250, upande wa kusini mianzi 250, upande wa maawioni kwa jua mianzi 250, nako upande wa baharini mianzi 250.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao mji utakuwa na malisho; upande wa kaskazini mia mbili na hamsini, na upande wa kusini mia mbili na hamsini, na upande wa mashariki mia mbili na hamsini, na upande wa magharibi mia mbili na hamsini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuuzunguka muji, kutakuwa na eneo wazi lenye upana wa metre mia moja na makumi mbili na tano.