Ezekiel 48:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Eneo linalopakana na la Dani, kutoka mashariki hadi magharibi litakuwa la Asheri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Asheri atakuwa na sehemu moja; itapakana na nchi ya Dani kuanzia mashariki hadi upande wa magharibi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena mpakani mwake Dani, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Asheri, fungu moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Eneo linalopakana na la Dani, kutoka mashariki hadi magharibi litakuwa la Asheri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Asheri atakuwa na sehemu moja, itapakana na nchi ya Dani kuanzia mashariki hadi upande wa magharibi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Asheri atakuwa na sehemu moja, itapakana na nchi ya Dani kuanzia mashariki hadi upande wa magharibi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena mpakani mwake Dani, toka upande wa mashariki hadi upande wa magharibi; Asheri, fungu moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Eneo linalopakana na la Dani, kutoka mashariki hadi magharibi litakuwa la Asheri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwenye mpaka wa Dani toka upande wa maawioni kwa jua hata upande wa baharini ni fungu moja, la Aseri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena mpakani mwake Dani, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Asheri, fungu moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Eneo linalofuatana na la Dani, kutoka mashariki mpaka magaribi litakuwa la Aseri.