Ezekiel 48:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Makabila yaliyobaki yatagawiwa maeneo yao hivi: Kabila la Benyamini litapewa eneo kutoka mashariki hadi magharibi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kuhusu makabila yaliyobaki: “Benyamini atakuwa na sehemu moja; itakayoanzia upande wa mashariki hadi upande wa magharibi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na katika habari za kabila zilizosalia; toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Benyamini, fungu moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Makabila yaliyobaki yatagawiwa maeneo yao hivi: Kabila la Benyamini litapewa eneo kutoka mashariki hadi magharibi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kuhusu makabila yaliyobaki: Benyamini atakuwa na sehemu moja, itakayoanzia upande wa mashariki hadi upande wa magharibi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kuhusu makabila yaliyobaki: “Benyamini atakuwa na sehemu moja, itakayoanzia upande wa mashariki hadi upande wa magharibi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na katika habari za kabila zilizosalia; toka upande wa mashariki hadi upande wa magharibi; Benyamini, fungu moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Makabila yaliyobaki yatagawiwa maeneo yao hivi: Kabila la Benyamini litapewa eneo kutoka mashariki hadi magharibi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo mashina yaliyosalia mafungu yao ni haya: toka upande wa maawioni kwa jua hata upande wa baharini ni fungu moja, la Benyamini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na katika habari za kabila zilizosalia; toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Benyamini, fungu moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makabila yaliyobaki yatagawanyiwa maeneo yao hivi: Kabila la Benjamina litapewa eneo kutoka mashariki mpaka magaribi.