Ezekiel 48:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Eneo linalopakana na eneo la Benyamini kutoka upande wa mashariki kuelekea upande wa magharibi litakuwa la kabila la Simeoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Simeoni atakuwa na sehemu moja; itakayopakana na nchi ya Benyamini kuanzia mashariki hadi magharibi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena mpakani mwa Benyamini, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Simeoni, fungu moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Eneo linalopakana na eneo la Benyamini kutoka upande wa mashariki kuelekea upande wa magharibi litakuwa la kabila la Simeoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Simeoni atakuwa na sehemu moja, itakayopakana na nchi ya Benyamini kuanzia mashariki hadi magharibi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Simeoni atakuwa na sehemu moja, itakayopakana na nchi ya Benyamini kuanzia mashariki hadi magharibi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena mpakani mwa Benyamini, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Simeoni, fungu moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Eneo linalopakana na eneo la Benyamini kutoka upande wa mashariki kuelekea upande wa magharibi litakuwa la kabila la Simeoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwenye mpaka wa Benyamini toka upande wa maawioni kwa jua hata upande wa baharini ni fungu moja, la Simeoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena mpakani mwa Benyamini, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Simeoni, fungu moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Eneo linalopakana na eneo la Benjamina kutoka upande wa mashariki kuelekea upande wa magaribi litakuwa la kabila la Simeoni.