Ezekiel 48:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Eneo linalopakana na kabila la Simeoni kutoka upande wa mashariki kuelekea upande wa magharibi litakuwa eneo la kabila la Isakari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isakari atakuwa na sehemu moja; itakayopakana na nchi ya Simeoni kuanzia mashariki hadi magharibi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena mpakani mwa Simeoni, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Isakari, fungu moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Eneo linalopakana na kabila la Simeoni kutoka upande wa mashariki kuelekea upande wa magharibi litakuwa eneo la kabila la Isakari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Isakari atakuwa na sehemu moja, itakayopakana na nchi ya Simeoni kuanzia mashariki hadi magharibi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isakari atakuwa na sehemu moja, itakayopakana na nchi ya Simeoni kuanzia mashariki hadi magharibi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena mpakani mwa Simeoni, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Isakari, fungu moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Eneo linalopakana na kabila la Simeoni kutoka upande wa mashariki kuelekea upande wa magharibi litakuwa eneo la kabila la Isakari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwenye mpaka wa Simeoni toka upande wa maawioni kwa jua hata upande wa baharini ni fungu moja, la Isakari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena mpakani mwa Simeoni, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Isakari, fungu moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Eneo linalopakana na kabila la Simeoni kutoka upande wa mashariki kuelekea upande wa magaribi litakuwa eneo la kabila la Isakari.