Ezekiel 48:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Eneo linalopakana na kabila la Isakari kutoka upande wa mashariki kuelekea upande wa magharibi, litakuwa eneo la kabila la Zebuluni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zabuloni atakuwa na sehemu moja; itakayopakana na nchi ya Isakari kuanzia mashariki hadi magharibi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mpakani mwa Isakari, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Zabuloni, fungu moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Eneo linalopakana na kabila la Isakari kutoka upande wa mashariki kuelekea upande wa magharibi, litakuwa eneo la kabila la Zebuluni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Zabuloni atakuwa na sehemu moja, itakayopakana na nchi ya Isakari kuanzia mashariki hadi magharibi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zabuloni atakuwa na sehemu moja, itakayopakana na nchi ya Isakari kuanzia mashariki hadi magharibi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mpakani mwa Isakari, toka upande wa mashariki hadi upande wa magharibi; Zabuloni, fungu moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Eneo linalopakana na kabila la Isakari kutoka upande wa mashariki kuelekea upande wa magharibi, litakuwa eneo la kabila la Zebuluni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwenye mpaka wa Isakari toka upande wa maawioni kwa jua hata upande wa baharini ni fungu moja, la Zebuluni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mpakani mwa Isakari, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Zabuloni, fungu moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Eneo linalopakana na kabila la Isakari kutoka upande wa mashariki kuelekea upande wa magaribi, litakuwa eneo la kabila la Zebuluni.