Ezekiel 48:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Eneo linalopakana na kabila la Zebuluni, kutoka mashariki kuelekea magharibi, litakuwa eneo la kabila la Gadi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Gadi atakuwa na sehemu moja; itakayopakana na nchi ya Zabuloni kuanzia mashariki hadi magharibi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mpakani mwa Zabuloni, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Gadi, fungu moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Eneo linalopakana na kabila la Zebuluni, kutoka mashariki kuelekea magharibi, litakuwa eneo la kabila la Gadi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Gadi atakuwa na sehemu moja, itakayopakana na nchi ya Zabuloni kuanzia mashariki hadi magharibi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Gadi atakuwa na sehemu moja, itakayopakana na nchi ya Zabuloni kuanzia mashariki hadi magharibi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mpakani mwa Zabuloni, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Gadi, fungu moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Eneo linalopakana na kabila la Zebuluni, kutoka mashariki kuelekea magharibi, litakuwa eneo la kabila la Gadi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwenye mpaka wa Zebuluni toka upande wa maawioni kwa jua hata upande wa baharini ni fungu moja, la Gadi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mpakani mwa Zabuloni, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Gadi, fungu moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Eneo linalopakana na kabila la Zebuluni, kutoka mashariki kuelekea magaribi, litakuwa eneo la kabila la Gadi.