Ezekiel 48:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hilo ndilo eneo la makabila ya Israeli. Humo ndimo watapewa maeneo yao, kila kabila eneo lake. Bwana Mwenyezi-Mungu amesema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hii ndiyo nchi mtakayogawanya kuwa urithi kwa makabila ya Israeli, nazo zitakuwa sehemu zao,” asema Bwana Mungu Mwenyezi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hiyo ndiyo nchi mtakayozigawanyia kabila za Israeli, kuwa urithi wao, na hayo ndiyo mafungu yao, asema Bwana MUNGU.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hilo ndilo eneo la makabila ya Israeli. Humo ndimo watapewa maeneo yao, kila kabila eneo lake. Bwana Mwenyezi-Mungu amesema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hii ndiyo nchi mtakayogawanya kuwa urithi kwa makabila ya Israeli, nazo zitakuwa sehemu zao,” asema BWANA Mwenyezi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hii ndiyo nchi mtakayogawanya kuwa urithi kwa makabila ya Israeli, nazo zitakuwa sehemu zao,” asema bwana Mwenyezi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hiyo ndiyo nchi mtakayowagawanyia makabila ya Israeli, kuwa urithi wao, na hayo ndiyo mafungu yao, asema Bwana MUNGU.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hilo ndilo eneo la makabila ya Israeli. Humo ndimo watapewa maeneo yao, kila kabila eneo lake. Bwana Mwenyezi-Mungu amesema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizo ndizo nchi, mtakazoyagawanyia mashina ya Isiraeli kwa kupiga kura kuwapatia mafungu yatakayokuwa yao. Hayo ndiyo mafungu yao makuu; ndivyo asemavyo Bwana Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hiyo ndiyo nchi mtakayozigawanyia kabila za Israeli, kuwa urithi wao, na hayo ndiyo mafungu yao, asema Bwana MUNGU.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hilo ndilo eneo la makabila ya Waisraeli. Humo ndimo watapewa maeneo yao, kila kabila eneo lake. –Ni ujumbe wa Bwana wetu Yawe.