Ezekiel 48:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabila la Naftali, litapata eneo linalopakana na lile la Asheri, kutoka mashariki hadi magharibi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naftali atakuwa na sehemu moja; itapakana na nchi ya Asheri kuanzia mashariki hadi magharibi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mpakani mwa Asheri, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Naftali, fungu moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabila la Naftali, litapata eneo linalopakana na lile la Asheri, kutoka mashariki hadi magharibi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Naftali atakuwa na sehemu moja, itapakana na nchi ya Asheri kuanzia mashariki hadi magharibi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naftali atakuwa na sehemu moja, itapakana na nchi ya Asheri kuanzia mashariki hadi magharibi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mpakani mwa Asheri, toka upande wa mashariki hadi upande wa magharibi; Naftali, fungu moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabila la Naftali, litapata eneo linalopakana na lile la Asheri, kutoka mashariki hadi magharibi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwenye mpaka wa Aseri toka upande wa maawioni kwa jua hata upande wa baharini ni fungu moja, la Nafutali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mpakani mwa Asheri, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Naftali, fungu moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kabila la Nafutali, litapata eneo linalopakana na lile la Aseri, kutoka mashariki mpaka magaribi.