Ezekiel 48:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mji wa Yerusalemu utakuwa na ukuta ambao utakuwa na malango haya ya kutokea na kuingia: Upande wa kaskazini urefu wa ukuta utakuwa mita 2,250. Upande huo wa kaskazini
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Haya yatakuwa ndiyo malango ya mji ya kutokea: “Kuanzia upande wa kaskazini, ambayo urefu wake ni dhiraa elfu nne na mia tano, utakuwa na malango matatu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na matokeo ya mji ndiyo haya; upande wa kaskazini, mianzi elfu nne na mia tano, kwa kupima;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mji wa Yerusalemu utakuwa na ukuta ambao utakuwa na malango haya ya kutokea na kuingia: Upande wa kaskazini urefu wa ukuta utakuwa mita 2,250. Upande huo wa kaskazini
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Haya yatakuwa ndiyo malango ya mji ya kutokea: Kuanzia upande wa kaskazini, ambayo urefu wake ni dhiraa 4,500, utakuwa na malango matatu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Haya yatakuwa ndiyo malango ya mji ya kutokea: “Kuanzia upande wa kaskazini, ambayo urefu wake ni dhiraa 4,500, utakuwa na malango matatu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na matokeo ya mji ndiyo haya; upande wa kaskazini, mianzi elfu nne na mia tano, kwa kipimo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mji wa Yerusalemu utakuwa na ukuta ambao utakuwa na malango haya ya kutokea na kuingia: Upande wa kaskazini urefu wa ukuta utakuwa mita 2,250. Upande huo wa kaskazini
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pa kutokea mle mjini patakuwa hivyo: upande wa kaskazini utakuwa wa mianzi 4500.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na matokeo ya mji ndiyo haya; upande wa kaskazini, mianzi elfu nne na mia tano, kwa kupima;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muji Yerusalema utakuwa na ukuta ambao utakuwa na milango hii ya kutokea na kuingilia: Upande wa kaskazini urefu wa ukuta utakuwa metre elfu mbili mia mbili na makumi tano. Upande huo wa kaskazini