Ezekiel 48:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
utakuwa na malango matatu: Lango la Reubeni, lango la Yuda na lango la Lawi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
malango hayo ya mji yatapewa majina ya makabila ya Israeli. Malango hayo matatu ya upande wa kaskazini moja litakuwa lango la Reubeni, lango la Yuda na lango la Lawi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na malango ya mji yatatajwa kwa majina ya kabila za Israeli, malango matatu upande wa kaskazini; lango la Reubeni, moja; lango la Yuda, moja; na lango la Lawi, moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
utakuwa na malango matatu: lango la Reubeni, lango la Yuda na lango la Lawi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
malango hayo ya mji yatapewa majina ya makabila ya Israeli. Malango hayo matatu ya upande wa kaskazini moja litakuwa lango la Reubeni, lango la Yuda na lango la Lawi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
malango hayo ya mji yatapewa majina ya makabila ya Israeli. Malango hayo matatu ya upande wa kaskazini moja litakuwa lango la Reubeni, lango la Yuda na lango la Lawi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na malango ya mji yatatajwa kwa majina ya makabila ya Israeli, malango matatu upande wa kaskazini; lango la Reubeni, moja; lango la Yuda, moja; na lango la Lawi, moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
utakuwa na malango matatu: Lango la Reubeni, lango la Yuda na lango la Lawi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo malango ya mji yataitwa kwa majina ya mashina ya Isiraeli. Malango matatu yataelekea kaskazini: lango moja la Rubeni, lango moja la Yuda, lango moja la Lawi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na malango ya mji yatatajwa kwa majina ya kabila za Israeli, malango matatu upande wa kaskazini; lango la Reubeni, moja; lango la Yuda, moja; na lango la Lawi, moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
utakuwa na milango mitatu: mulango wa Rubeni, mulango wa Yuda na mulango wa Lawi.