Ezekiel 48:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukuta wa Mashariki utakuwa na urefu wa mita 2,250. Upande huo utakuwa na malango matatu: Lango la Yosefu, lango la Benyamini na lango la Dani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Upande wa mashariki, wenye urefu wa dhiraa elfu nne na mia tano, utakuwa na malango matatu: lango la Yusufu, lango la Benyamini na lango la Dani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na upande wa mashariki, elfu nne na mia tano, kwa kupima; na malango matatu; lango la Yusufu, moja; lango la Benyamini, moja; lango la Dani, moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukuta wa Mashariki utakuwa na urefu wa mita 2,250. Upande huo utakuwa na malango matatu: lango la Yosefu, lango la Benyamini na lango la Dani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Upande wa mashariki, wenye urefu wa dhiraa 4,500, utakuwa na malango matatu: lango la Yosefu, lango la Benyamini na lango la Dani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Upande wa mashariki, wenye urefu wa dhiraa 4,500, utakuwa na malango matatu: lango la Yusufu, lango la Benyamini na lango la Dani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na upande wa mashariki, mianzi elfu nne na mia tano, kwa kipimo; na malango matatu; lango la Yusufu, lango la Benyamini; lango la Dani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukuta wa Mashariki utakuwa na urefu wa mita 2,250. Upande huo utakuwa na malango matatu: Lango la Yosefu, lango la Benyamini na lango la Dani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao upande wa maawioni kwa jua utakuwa wa mianzi 4500, nao utakuwa na malango matatu: lango moja la Yosefu, lango moja la Benyamini, lango moja la Dani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na upande wa mashariki, elfu nne na mia tano, kwa kupima; na malango matatu; lango la Yusufu, moja; lango la Benyamini, moja; lango la Dani, moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukuta wa upande wa mashariki utakuwa na urefu wa metre elfu mbili mia mbili makumi tano. Upande huo utakuwa na milango mitatu: mulango wa Yosefu, mulango wa Benjamina na mulango wa Dani.