Ezekiel 48:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukuta wa upande wa kusini utakuwa na urefu wa mita 2,250. Upande huo utakuwa na malango matatu: Lango la Simeoni, lango la Isakari na lango la Zebuluni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Upande wa kusini, wenye urefu wa dhiraa elfu nne na mia tano, utakuwa na malango matatu: lango la Simeoni, lango la Isakari na lango la Zabuloni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na upande wa kusini, elfu nne na mia tano kwa kupima; na malango matatu; lango la Simeoni, moja; lango la Isakari, moja; lango la Zabuloni, moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukuta wa upande wa kusini utakuwa na urefu wa mita 2,250. Upande huo utakuwa na malango matatu: lango la Simeoni, lango la Isakari na lango la Zebuluni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Upande wa kusini, wenye urefu wa dhiraa 4,500, utakuwa na malango matatu: lango la Simeoni, lango la Isakari na lango la Zabuloni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Upande wa kusini, wenye urefu wa dhiraa 4,500, utakuwa na malango matatu: lango la Simeoni, lango la Isakari na lango la Zabuloni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na upande wa kusini, mianzi elfu nne na mia tano kwa kupima; na malango matatu; lango la Simeoni; lango la Isakari, lango la Zabuloni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukuta wa upande wa kusini utakuwa na urefu wa mita 2,250. Upande huo utakuwa na malango matatu: Lango la Simeoni, lango la Isakari na lango la Zebuluni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao upande wa kusini utakuwa wa mianzi 4500, nao utakuwa na malango matatu: lango moja la Simeoni, lango moja la Isakari, lango moja la Zebuluni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na upande wa kusini, elfu nne na mia tano kwa kupima; na malango matatu; lango la Simeoni, moja; lango la Isakari, moja; lango la Zabuloni, moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukuta wa upande wa kusini utakuwa na urefu wa metre elfu mbili mia mbili na makumi tano. Upande huo utakuwa na milango mitatu: mulango wa Simeoni, mulango wa Isakari na mulango wa Zebuluni.