Ezekiel 48:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukuta wa upande wa magharibi utakuwa na urefu wa mita 2,250. Upande huo nao utakuwa na malango matatu: Lango la Gadi, lango la Asheri na lango la Naftali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Upande wa magharibi, wenye urefu wa dhiraa elfu nne na mia tano, utakuwa na malango matatu: lango la Gadi, lango la Asheri na lango la Naftali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na upande wa magharibi, elfu nne na mia tano; pamoja na malango yake matatu; lango la Gadi, moja; lango la Asheri, moja; na lango la Naftali, moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukuta wa upande wa magharibi utakuwa na urefu wa mita 2,250. Upande huo nao utakuwa na malango matatu: lango la Gadi, lango la Asheri na lango la Naftali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Upande wa magharibi, wenye urefu wa dhiraa 4,500, utakuwa na malango matatu: lango la Gadi, lango la Asheri na lango la Naftali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Upande wa magharibi, wenye urefu wa dhiraa 4,500, utakuwa na malango matatu: lango la Gadi, lango la Asheri na lango la Naftali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na upande wa magharibi, mianzi elfu nne na mia tano; pamoja na malango yake matatu; lango la Gadi, lango la Asheri; na lango la Naftali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukuta wa upande wa magharibi utakuwa na urefu wa mita 2,250. Upande huo nao utakuwa na malango matatu: Lango la Gadi, lango la Asheri na lango la Naftali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao upande wa baharini utakuwa wa mianzi 4500, nao utakuwa na malango matatu: lango moja la Gadi, lango moja la Aseri, lango moja la Nafutali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na upande wa magharibi, elfu nne na mia tano; pamoja na malango yake matatu; lango la Gadi, moja; lango la Asheri, moja; na lango la Naftali, moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukuta wa upande wa magaribi utakuwa na urefu wa metre elfu mbili mia mbili makumi tano. Upande huo nao utakuwa na milango mitatu: mulango wa Gadi, mulango wa Aseri na mulango wa Nafutali.