Ezekiel 48:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jumla ya urefu wa kuta zote nne utakuwa ni mita 9,000. Jina la mji kutokea sasa na kuendelea litakuwa: “Mwenyezi-Mungu Yupo Hapa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Urefu wote kuzunguka utakuwa dhiraa elfu kumi na nane. “Nalo jina la mji huo kuanzia wakati huo na kuendelea litakuwa: ‘Mwenyezi Mungu yupo hapa.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuuzunguka ni mianzi kumi na nane elfu; na jina la mji huo tangu siku hiyo litakuwa hili, Bwana yupo hapa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jumla ya urefu wa kuta zote nne utakuwa ni mita 9,000. Jina la mji kutokea sasa na kuendelea litakuwa: “Mwenyezi-Mungu Yupo Hapa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Urefu wote kuzunguka utakuwa dhiraa 18,000. “Nalo jina la mji huo kuanzia wakati huo na kuendelea litakuwa: BWANA YUPO HAPA.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Urefu wote kuzunguka utakuwa dhiraa 18,000. “Nalo jina la mji huo kuanzia wakati huo na kuendelea litakuwa: Bwana yupo hapa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuuzunguka ni mianzi elfu kumi na nane; na jina la mji huo tangu siku hiyo litakuwa hili, BWANA yupo hapa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jumla ya urefu wa kuta zote nne utakuwa ni mita 9,000. Jina la mji kutokea sasa na kuendelea litakuwa: “Mwenyezi-Mungu Yupo Hapa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kuuzunguka mji wote itakuwa njia yenye urefu wa mianzi 18000. Jina lake huo mji litakuwa toka siku ile: Bwana yumo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuuzunguka ni mianzi kumi na nane elfu; na jina la mji huo tangu siku hiyo litakuwa hili, BWANA yupo hapa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jumla ya urefu wa kuta zote ine utakuwa ni metre elfu kenda. Jina la muji kutokea sasa na kuendelea litakuwa: Yawe Yupo Hapa.