Ezekiel 48:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Eneo linalopakana na eneo la Efraimu, kutoka mashariki hadi magharibi, litakuwa la kabila la Reubeni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Reubeni atakuwa na sehemu moja; itapakana na nchi ya Efraimu kuanzia mashariki hadi magharibi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mpakani mwa Efraimu, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Reubeni, fungu moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Eneo linalopakana na eneo la Efraimu, kutoka mashariki hadi magharibi, litakuwa la kabila la Reubeni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Reubeni atakuwa na sehemu moja, itapakana na nchi ya Efraimu kuanzia mashariki hadi magharibi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Reubeni atakuwa na sehemu moja, itapakana na nchi ya Efraimu kuanzia mashariki hadi magharibi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mpakani mwa Efraimu, toka upande wa mashariki hadi upande wa magharibi; Reubeni, fungu moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Eneo linalopakana na eneo la Efraimu, kutoka mashariki hadi magharibi, litakuwa la kabila la Reubeni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwenye mpaka wa Efuraimu toka upande wa maawioni kwa jua hata upande wa baharini ni fungu moja, la Rubeni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mpakani mwa Efraimu, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Reubeni, fungu moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Eneo linalopakana na eneo la Efuraimu kutoka mashariki mpaka magaribi litakuwa la kabila la Rubeni.