Ezekiel 48:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Eneo utakalotenga kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu litakuwa lenye urefu wa kilomita kumi na mbili u nusu kwa kilomita 10.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hiyo sehemu maalum mtakayotoa kwa Mwenyezi Mungu itakuwa na urefu wa dhiraa elfu ishirini na tano, na upana wa dhiraa elfu kumi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Matoleo hayo, mtakayomtolea Bwana, urefu wake ni mianzi ishirini na tano elfu, na upana wake elfu kumi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Eneo utakalotenga kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu litakuwa lenye urefu wa kilomita kumi na mbili u nusu kwa kilomita 10.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hiyo sehemu maalum mtakayotoa kwa BWANA itakuwa na urefu wa dhiraa 25,000 na upana wa dhiraa 10,000
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hiyo sehemu maalum mtakayotoa kwa bwana itakuwa na urefu wa dhiraa 25,000 na upana wa dhiraa 10,000
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Matoleo hayo, mtakayomtolea BWANA, urefu wake ni mianzi elfu ishirini na tano, na upana wake elfu kumi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Eneo utakalotenga kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu litakuwa lenye urefu wa kilomita kumi na mbili u nusu kwa kilomita 10.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata fungu la kueuliwa sharti mmtolee Bwana, urefu wake uwe mianzi 25000, tena upana wake uwe mianzi 10000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Matoleo hayo, mtakayomtolea BWANA, urefu wake ni mianzi ishirini na tano elfu, na upana wake elfu kumi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Eneo utakalotenga kwa ajili ya Yawe litakuwa lenye urefu wa kilometre kumi na mbili na nusu kwa kilometre kumi.