Ezekiel 5:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena, wewe mji wa Yerusalemu nitakufanya kuwa ukiwa na kitu cha dhihaka miongoni mwa mataifa yanayokuzunguka na mbele ya watu wote wapitao karibu nawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nitakuangamiza na kukufanya kitu cha kudharauliwa miongoni mwa mataifa yanayokuzunguka, machoni pa wote wapitao karibu nawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena nitakufanya kuwa ukiwa, na aibu, kati ya mataifa wakuzungukao, machoni pa watu wote wapitao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena, wewe mji wa Yerusalemu nitakufanya kuwa ukiwa na kitu cha dhihaka miongoni mwa mataifa yanayokuzunguka na mbele ya watu wote wapitao karibu nawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nitakuangamiza na kukufanya kitu cha kudharauliwa miongoni mwa mataifa yanayokuzunguka, machoni pa watu wote wapitao karibu nawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nitakuangamiza na kukufanya kitu cha kudharauliwa miongoni mwa mataifa yanayokuzunguka, machoni pa watu wote wapitao karibu nawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena nitakufanya kuwa ukiwa, na aibu, kati ya mataifa wakuzungukao, machoni pa watu wote wapitao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena, wewe mji wa Yerusalemu nitakufanya kuwa ukiwa na kitu cha dhihaka miongoni mwa mataifa yanayokuzunguka na mbele ya watu wote wapitao karibu nawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nitakugeuza kuwa mabomoko ya kuzomelewa kwa wamizimu wote wakuzungukao, kila atakayepapita ayaone.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena nitakufanya kuwa ukiwa, na aibu, kati ya mataifa wakuzungukao, machoni pa watu wote wapitao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena, wewe Yerusalema nitakufanya kuwa ukiwa na kitu cha kuchekelewa kati ya mataifa yanayokuzunguka na mbele ya watu wote wanaopita karibu nawe.