Ezekiel 5:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sehemu ndogo tu ya nywele zako utaichukua na kuifunga kwenye mkunjo wa joho lako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini chukua nywele chache uzifungie ndani ya pindo la vazi lako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe twaa nywele chache katika hizo, na kuzifunga katika upindo wa mavazi yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sehemu ndogo tu ya nywele zako utaichukua na kuifunga kwenye mkunjo wa joho lako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini chukua nywele chache uzifungie ndani ya pindo la vazi lako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini chukua nywele chache uzifungie ndani ya pindo la vazi lako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe twaa nywele chache katika hizo, na kuzifunga katika upindo wa mavazi yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sehemu ndogo tu ya nywele zako utaichukua na kuifunga kwenye mkunjo wa joho lako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawe hizo nywele zichukue chache tu, uzifungue pembeni katika vazi lako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe twaa nywele chache katika hizo, na kuzifunga katika upindo wa mavazi yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini utatwaa sehemu ndogo tu ya nywele zako na kuifungia kwenye upindo wa nguo yako.