Ezekiel 5:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nitazitekeleza hukumu zangu dhidi yenu mbele ya mataifa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwa hiyo, hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: Mimi mwenyewe niko kinyume nawe, Yerusalemu, na nitakupiga kwa adhabu yangu mbele ya mataifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi, Bwana MUNGU asema hivi; Angalia, mimi, naam, mimi, ni juu yako; nami nitafanya hukumu kati yako machoni pa mataifa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nitazitekeleza hukumu zangu dhidi yenu mbele ya mataifa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa hiyo, hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo, Mimi mwenyewe, niko kinyume nanyi Yerusalemu, nitawapiga kwa adhabu yangu mbele ya mataifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa hiyo, hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo, Mimi mwenyewe, niko kinyume nanyi Yerusalemu, nitawapiga kwa adhabu yangu mbele ya mataifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi, Bwana MUNGU asema hivi; Angalia, mimi, naam, mimi, ni juu yako; nami nitafanya hukumu kati yako machoni pa mataifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nitazitekeleza hukumu zangu dhidi yenu mbele ya mataifa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa hiyo Bwana Mungu anasema hivi: Utaniona, mimi nami nikikujia, nifanye katikati yako mashauri machoni pa wamizimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi, Bwana MUNGU asema hivi; Angalia, mimi, naam, mimi, ni juu yako; nami nitafanya hukumu kati yako machoni pa mataifa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Bwana wetu Yawe anasema hivi: Nitapingana nanyi nami nitatimiza hukumu zangu juu yenu mbele ya mataifa.