Ezekiel 5:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutokana na machukizo yenu yote nitawaadhibu kwa adhabu ambayo sijapata kuwapeni na ambayo sitairudia tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu ya sanamu zako zote za machukizo, nitakufanyia kile ambacho kamwe sijafanya kabla wala kamwe sitafanya tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitakutenda nisiyoyatenda zamani, wala sitafanya tena mambo kama hayo, kwa sababu ya machukizo yako yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutokana na machukizo yenu yote nitawaadhibu kwa adhabu ambayo sijapata kuwapeni na ambayo sitairudia tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa ajili ya sanamu zenu zote za machukizo, nitawafanyia kile ambacho kamwe sijawafanyia kabla wala kamwe sitawafanyia tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa ajili ya sanamu zenu zote za machukizo, nitawafanyia kile ambacho kamwe sijawafanyia kabla wala kamwe sitawafanyia tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitakutenda nisiyoyatenda zamani, wala sitafanya tena mambo kama hayo, kwa sababu ya machukizo yako yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutokana na machukizo yenu yote nitawaadhibu kwa adhabu ambayo sijapata kuwapeni na ambayo sitairudia tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitakufanyizia mambo, nisiyoyafanya bado, wala sitayafanya mara nyingine yaliyo hivyo kwa ajili ya machukizo yako yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitakutenda nisiyoyatenda zamani, wala sitafanya tena mambo kama hayo, kwa sababu ya machukizo yako yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutokana na machukizo yenu yote nitawaazibu kwa azabu ambayo sijapata kuwapa ninyi na ambayo sitairudilia tena.