Ezekiel 6:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo ndipo watakapojifunza kwamba mimi ni Mwenyezi-Mungu; sikuwatisha bure ya kwamba nitawaletea maovu hayo yote.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao watajua kuwa Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, sikuwaonya bure kuwa nitaleta maafa hayo yote juu yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watajua ya kuwa mimi ndimi Bwana; sikusema bure kama nitawatenda mabaya hayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo ndipo watakapojifunza kwamba mimi ni Mwenyezi-Mungu; sikuwatisha bure ya kwamba nitawaletea maovu hayo yote.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao watajua kuwa Mimi ndimi BWANA, sikuwaonya bure kuwa nitaleta maafa hayo yote juu yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao watajua kuwa Mimi ndimi bwana, sikuwaonya bure kuwa nitaleta maafa hayo yote juu yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA; sikusema bure kama nitawatenda mabaya hayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo ndipo watakapojifunza kwamba mimi ni Mwenyezi-Mungu; sikuwatisha bure ya kwamba nitawaletea maovu hayo yote.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, watakapojua, ya kuwa mimi ni Bwana, sikusema bure, ya kuwa nitawafanyizia hayo mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA; sikusema bure kama nitawatenda mabaya hayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao watajua kwamba mimi ni Yawe; sikusema bure kwamba nitawaletea hasara hizo zote.