Ezekiel 6:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wewe mtu, igeukie milima ya Israeli, utangaze ujumbe huu wangu dhidi ya wakazi wake
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwanadamu, elekeza uso wako kukabili milima ya Israeli, utabiri dhidi yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanadamu, uelekeze uso wako uitazame milima ya Israeli, ukaitabirie,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wewe mtu, igeukie milima ya Israeli, utangaze ujumbe huu wangu dhidi ya wakazi wake
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mwanadamu, elekeza uso wako kukabili milima ya Israeli, utabiri dhidi yake
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mwanadamu, elekeza uso wako kukabili milima ya Israeli, utabiri dhidi yake
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanadamu, uelekeze uso wako uitazame milima ya Israeli, ukaitabirie,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wewe mtu, igeukie milima ya Israeli, utangaze ujumbe huu wangu dhidi ya wakazi wake
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwana wa mtu, ielekezee milima ya Isiraeli uso wako, uifumbulie yatakayokuwa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanadamu, uelekeze uso wako uitazame milima ya Israeli, ukaitabirie,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe mwanadamu, uelekeze uso wako kwenye milima ya Israeli, nawe utoe unabii kwa ajili ya wakaaji wake