Ezekiel 6:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Madhabahu zenu zitaharibiwa na mahali penu pa kufukizia ubani patavunjwavunjwa. Wale watakaouawa nitawatupa mbele ya sanamu zenu za miungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Madhabahu yenu yatabomolewa na madhabahu yenu ya kufukizia uvumba yatavunjavunjwa, nami nitawachinja watu wenu mbele ya sanamu zenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na madhabahu zenu zitakuwa ukiwa, na sanamu zenu za jua zitavunjika; nami nitawatupa wana wenu waliouawa mbele ya vinyago vyenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Madhabahu zenu zitaharibiwa na mahali penu pa kufukizia ubani patavunjwavunjwa. Wale watakaouawa nitawatupa mbele ya sanamu zenu za miungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Madhabahu zenu zitabomolewa na madhabahu zenu za kufukizia uvumba zitavunjwavunjwa, nami nitawachinja watu wenu mbele ya sanamu zenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Madhabahu yenu yatabomolewa na madhabahu yenu ya kufukizia uvumba yatavunjavunjwa, nami nitawachinja watu wenu mbele ya sanamu zenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na madhabahu zenu zitakuwa ukiwa, na sanamu zenu za jua zitavunjika; nami nitawatupa wana wenu waliouawa mbele ya vinyago vyenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Madhabahu zenu zitaharibiwa na mahali penu pa kufukizia ubani patavunjwavunjwa. Wale watakaouawa nitawatupa mbele ya sanamu zenu za miungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, penu pa kutambikia patakapokuwa peke yao, navyo vinyago vyenu vya jua vitavunjwa, nao wenzenu watakaopigwa na panga nitawatupa mbele ya magogo, mnayoyatambikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na madhabahu zenu zitakuwa ukiwa, na sanamu zenu za jua zitavunjika; nami nitawatupa wana wenu waliouawa mbele ya vinyago vyenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mazabahu zenu zitaharibiwa na pahali penu pa kufukizia ubani patavunjwavunjwa. Wale watakaouawa nitawatupa mbele ya sanamu zenu za miungu.