Ezekiel 6:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maiti za Waisraeli nitazilaza mbele ya sanamu zao za miungu, na mifupa yenu nitaitawanya kandokando ya madhabahu zenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitazilaza maiti za Waisraeli mbele ya sanamu zao, nami nitatawanya mifupa yenu kuzunguka madhabahu yenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitaiweka mizoga ya wana wa Israeli mbele ya vinyago vyao; nami nitaitawanya mifupa yenu pande zote za madhabahu zenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maiti za Waisraeli nitazilaza mbele ya sanamu zao za miungu, na mifupa yenu nitaitawanya kandokando ya madhabahu zenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitazilaza maiti za Waisraeli mbele ya sanamu zao, nami nitatawanya mifupa yenu kuzunguka madhabahu zenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitazilaza maiti za Waisraeli mbele ya sanamu zao, nami nitatawanya mifupa yenu kuzunguka madhabahu yenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitaiweka mizoga ya wana wa Israeli mbele ya vinyago vyao; nami nitaitawanya mifupa yenu pande zote za madhabahu zenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maiti za Waisraeli nitazilaza mbele ya sanamu zao za miungu, na mifupa yenu nitaitawanya kandokando ya madhabahu zenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli mizoga ya wana wa Isiraeli nitaikusanya mbele ya magogo, waliyoyatambikia, nayo mifupa yenu nitaitupatupa pande zote palipo penu pa kutambikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitaiweka mizoga ya wana wa Israeli mbele ya vinyago vyao; nami nitaitawanya mifupa yenu pande zote za madhabahu zenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maiti za Waisraeli nitazilalisha mbele ya sanamu zao za miungu, na mifupa yenu nitaisambaza kandokando ya mazabahu zenu.