Ezekiel 7:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Tazameni, siku ile inakuja! Maangamizi yenu yamekuja. Ukatili uko kila mahali na kiburi kimechanua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Tazama, siku imefika! Tazama, imewadia! Maangamizi yamezuka ghafula, fimbo imechanua, nayo majivuno yamechipua!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Angalia, siku hiyo; angalia, inakuja; ajali yako imetokea; fimbo imechanua, kiburi kimechipuka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Tazameni, siku ile inakuja! Maangamizi yenu yamekuja. Ukatili uko kila mahali na kiburi kimechanua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Siku imefika! Imewadia! Maangamizi yamezuka ghafula, fimbo imechanua majivuno yamechipua!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Siku imefika! Imewadia! Maangamizi yamezuka ghafula, fimbo imechanua majivuno yamechipua!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Angalia, siku hiyo; angalia, inakuja; ajali yako imetokea; fimbo imechanua, kiburi kimechipuka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Tazameni, siku ile inakuja! Maangamizi yenu yamekuja. Ukatili uko kila mahali na kiburi kimechanua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itazami hiyo siku! Utaiona, inakuja! Siku mbaya imetokea! Fimbo imechanua, majivuno yamechipuka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Angalia, siku hiyo; angalia, inakuja; ajali yako imetokea; fimbo imechanua, kiburi kimechipuka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muangalie, siku ile inakuja! Maangamizi yenu yamekuja. Ubaya uko kila pahali na kiburi kimepanda sana.