Ezekiel 7:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati umewadia, naam, ile siku imekaribia. Mnunuzi asifurahi wala mwuzaji asiomboleze; kwa sababu ghadhabu yangu itaukumba umati wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati umewadia, siku imefika. Mnunuzi na asifurahi wala muuzaji asihuzunike, kwa maana ghadhabu iko juu ya kundi lote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Majira yamewadia, siku ile inakaribia; huyo anunuaye asifurahi, wala asihuzunike auzaye; maana ghadhabu imewapata wote jamii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati umewadia, naam, ile siku imekaribia. Mnunuzi asifurahi wala mwuzaji asiomboleze; kwa sababu ghadhabu yangu itaukumba umati wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati umewadia, siku imefika. Mnunuzi na asifurahi wala mwuzaji asihuzunike, kwa maana ghadhabu iko juu ya kundi lote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati umewadia, siku imefika. Mnunuzi na asifurahi wala muuzaji asihuzunike, kwa maana ghadhabu iko juu ya kundi lote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Majira yamewadia, siku ile inakaribia; huyo anunuaye asifurahi, wala asihuzunike auzaye; maana ghadhabu imewapata watu wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati umewadia, naam, ile siku imekaribia. Mnunuzi asifurahi wala mwuzaji asiomboleze; kwa sababu ghadhabu yangu itaukumba umati wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakati umekuja, siku imetimia, ndipo asifurahi mwenye kununua, wala asisikitike mwenye kuuza, kwani makali yenye moto yanazijia mali zao zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Majira yamewadia, siku ile inakaribia; huyo anunuaye asifurahi, wala asihuzunike auzaye; maana ghadhabu imewapata wote jamii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati umetimia, ile siku imekaribia. Mununuzi asifurahi wala muchuuzi asiomboleze; kwa sababu kasirani yangu itawaangukia watu wote.