Ezekiel 7:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wauzaji hawataweza kurudia mali yao waliyouza hata kama wakibaki hai. Kwani maono haya yahusu umati wote na hayatabatilishwa. Kutokana na uovu huo, hakuna mtu atakayesalimisha maisha yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Muuzaji hatajipatia tena ardhi aliyoiuza wakati wote wawili wangali hai. Kwa kuwa maono kuhusu kundi lote hayatatanguka. Kwa sababu ya dhambi zao, hakuna hata mmoja atakayeokoa maisha yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana auzaye hatakirudia kilichouzwa, wajapokuwa wangali hai; kwa sababu maono haya yawahusu wote jamii; hapana mmoja atakayerudi; wala hapana mtu atakayejitia nguvu katika uovu wa maisha yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wauzaji hawataweza kurudia mali yao waliyouza hata kama wakibaki hai. Kwani maono haya yahusu umati wote na hayatabatilishwa. Kutokana na uovu huo, hakuna mtu atakayesalimisha maisha yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwuzaji hatajipatia tena ardhi aliyoiuza wakati wote wawili wangali hai, kwa kuwa maono kuhusu kundi lote hayatatanguka. Kwa sababu ya dhambi zao, hakuna hata mmoja atakayeokoa maisha yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Muuzaji hatajipatia tena ardhi aliyoiuza wakati wote wawili wangali hai, kwa kuwa maono kuhusu kundi lote hayatatanguka. Kwa sababu ya dhambi zao, hakuna hata mmoja atakayeokoa maisha yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana auzaye hatakirudia kilichouzwa, wajapokuwa wangali hai; kwa sababu maono haya yawahusu watu wote; hapana mmoja atakayerudi; wala hapana mtu atakayejitia nguvu katika uovu wa maisha yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wauzaji hawataweza kurudia mali yao waliyouza hata kama wakibaki hai. Kwani maono haya yahusu umati wote na hayatabatilishwa. Kutokana na uovu huo, hakuna mtu atakayesalimisha maisha yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mwenye kuuza hatakipata tena alichokiuza, ingawa awepo na kukaa mwenye uzima, kwani hayo yaliyofumbuliwa kwa ajili ya mali zao zote hayageuki, kwa ajili ya manza, walizozikora, hakuna atakayejikalisha uzimani kwa nguvu zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana auzaye hatakirudia kilichouzwa, wajapokuwa wangali hai; kwa sababu maono haya yawahusu wote jamii; hapana mmoja atakayerudi; wala hapana mtu atakayejitia nguvu katika uovu wa maisha yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wachuuzi watahomba kabisa hata ikiwa wangali wazima. Kwa maana unabii huu ni juu ya watu wote nao hautavunjwa. Kutokana na uovu wake, mutu hatayaokoa maisha yake.