Ezekiel 7:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tarumbeta imepigwa na kuwafanya wote wawe tayari. Lakini hakuna anayekwenda vitani, kwani ghadhabu yangu iko juu ya umati wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Wajapopiga tarumbeta na kuweka kila kitu tayari, hakuna hata mmoja atakayeenda vitani, kwa maana ghadhabu yangu iko juu ya kundi lote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wamepiga tarumbeta, wameweka vitu vyote tayari; lakini hapana aendaye vitani; maana ghadhabu yangu imewapata wote jamii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tarumbeta imepigwa na kuwafanya wote wawe tayari. Lakini hakuna anayekwenda vitani, kwani ghadhabu yangu iko juu ya umati wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wajapo piga tarumbeta na kuweka kila kitu tayari, hakuna hata mmoja atakayekwenda vitani, kwa maana ghadhabu yangu iko juu ya kundi lote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wajapopiga tarumbeta na kuweka kila kitu tayari, hakuna hata mmoja atakayekwenda vitani, kwa maana ghadhabu yangu iko juu ya kundi lote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wamepiga tarumbeta, wametayarisha vitu vyote; lakini hapana aendaye vitani; maana ghadhabu yangu imewapata umati wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tarumbeta imepigwa na kuwafanya wote wawe tayari. Lakini hakuna anayekwenda vitani, kwani ghadhabu yangu iko juu ya umati wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yapigeni tu mabaragumu na kuyatengeneza yote! Hakuna atakayekwenda vitani. Kwani makali yangu yenye moto yamezijia mali zao zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wamepiga tarumbeta, wameweka vitu vyote tayari; lakini hapana aendaye vitani; maana ghadhabu yangu imewapata wote jamii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Baragumu imepigwa na kuwafanya wote wakuwe tayari. Lakini hakuna anayekwenda kwa vita, kwa maana kasirani yangu iko juu ya watu wote.