Ezekiel 7:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakiwapo watu watakaosalimika watakimbilia milimani kama hua waliotishwa bondeni. Kila mmoja wao ataomboleza kwa dhambi zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote watakaopona na kutoroka watakuwa milimani, wakiomboleza kama hua wa mabondeni, kila mmoja kwa sababu ya dhambi zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini watakaokimbia watakimbia, nao watakuwa juu ya milima kama hua wa bondeni, wote wakilia, kila mmoja katika uovu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakiwapo watu watakaosalimika watakimbilia milimani kama hua waliotishwa bondeni. Kila mmoja wao ataomboleza kwa dhambi zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale wote watakaopona na kutoroka watakuwa milimani, wakiomboleza kama hua wa mabondeni, kila mmoja kwa sababu ya dhambi zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wote watakaopona na kutoroka watakuwa milimani, wakiomboleza kama hua wa mabondeni, kila mmoja kwa sababu ya dhambi zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini watakaokimbia watakimbia, nao watakuwa juu ya milima kama hua wa bondeni, wote wakilia, kila mmoja katika uovu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakiwapo watu watakaosalimika watakimbilia milimani kama hua waliotishwa bondeni. Kila mmoja wao ataomboleza kwa dhambi zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watakaopona kwa kukimbia watakuwa milimani kama hua walioko mabondeni, hao wote watakuwa wanalia kila mtu kwa manza zake yeye, alizozikora.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini watakaokimbia watakimbia, nao watakuwa juu ya milima kama hua wa bondeni, wote wakilia, kila mmoja katika uovu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa kuna watu walioponyoka, watakimbilia kwenye milima kama njiwa waliotishwa katika bonde. Kila mumoja wao ataomboleza kwa ajili ya zambi zake.