Ezekiel 7:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa kuwa walijifanyia utukufu usio na maana kwa njia ya vikuku, wakajifanyia sanamu za miungu zinazochukiza pamoja na vitu vyao vya aibu; vyote hivyo nitavifanya kuwa najisi kwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walijivunia vito vyao vizuri na kuvitumia kutengeneza sanamu za machukizo na vinyago vya upotovu. Kwa hiyo nitavifanya vitu hivyo kuwa najisi kwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na uzuri wa pambo lake, yeye aliuweka katika enzi, lakini wao walifanya sanamu za machukizo yao, na vitu vyao vichukizavyo, ndani yake; ndiyo maana nimeifanya kuwa kama kitu cha unajisi kwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa kuwa walijifanyia utukufu usio na maana kwa njia ya vikuku, wakajifanyia sanamu za miungu zinazochukiza pamoja na vitu vyao vya aibu; vyote hivyo nitavifanya kuwa najisi kwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walijivunia vito vyao vizuri na kuvitumia kufanya sanamu za machukizo na vinyago vya upotovu. Kwa hiyo nitavifanya vitu hivyo kuwa najisi kwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walijivunia vito vyao vizuri na kuvitumia kufanya sanamu za machukizo na vinyago vya upotovu. Kwa hiyo nitavifanya vitu hivyo kuwa najisi kwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na uzuri wa pambo lake, yeye aliuweka katika enzi, lakini wao walifanya sanamu za machukizo yao, na vitu vyao vichukizavyo, ndani yake; ndiyo maana nimeifanya kuwa kama kitu cha unajisi kwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa kuwa walijifanyia utukufu usio na maana kwa njia ya vikuku, wakajifanyia sanamu za miungu zinazochukiza pamoja na vitu vyao vya aibu; vyote hivyo nitavifanya kuwa najisi kwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uzuri wa hayo mapambo yao ukawatia majivuno, wakayatumia kuvitengeneza vinyago vyao vichukizavyo kwa kutapisha kwao. Kwa hiyo nimezigeuza kuwa kwao kama zenye uchafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na uzuri wa pambo lake, yeye aliuweka katika enzi, lakini wao walifanya sanamu za machukizo yao, na vitu vyao vichukizavyo, ndani yake; ndiyo maana nimeifanya kuwa kama kitu cha unajisi kwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walijivuna kwa ajili ya vitu vyao vizuri vya mapambo, wakajifanyia sanamu za miungu zinazochukiza, vitu vibaya kabisa. Kwa sababu hiyo nitavifanya kuwa uchafu mbele yao.