Ezekiel 7:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utajiri wao nitautia mikononi mwa mataifa mengine, watu waovu wa dunia watauteka na kuutia najisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitavitia vyote mikononi mwa wageni kuwa nyara na kuwa vitu vilivyotekwa mikononi mwa watu waovu wa dunia, nao watavinajisi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitapatia katika mikono ya wageni pawe mateka yao, na katika mikono ya waovu wa duniani pawe mawindo yao, nao watapanajisi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utajiri wao nitautia mikononi mwa mataifa mengine, watu waovu wa dunia watauteka na kuutia najisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitavitia vyote mikononi mwa wageni kuwa nyara na kuwa vitu vilivyotekwa mikononi mwa watu waovu wa dunia, nao watavinajisi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitavitia vyote mikononi mwa wageni kuwa nyara na kuwa vitu vilivyotekwa mikononi mwa watu waovu wa dunia, nao watavinajisi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitapatia katika mikono ya wageni pawe mateka yao, na katika mikono ya waovu wa duniani pawe mawindo yao, nao watapanajisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utajiri wao nitautia mikononi mwa mataifa mengine, watu waovu wa dunia watauteka na kuutia najisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nitazipa mikononi mwa wageni, wazipokonye, namo mwao wasionicha katika nchi hii, waziteke, kisha wazichafue.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitapatia katika mikono ya wageni pawe mateka yao, na katika mikono ya waovu wa duniani pawe mawindo yao, nao watapanajisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utajiri wao nitautia katika mikono ya mataifa mengine; watu waovu wa dunia wataunyanganya na kuuchafua.