Ezekiel 7:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uso wangu nitaugeuzia mbali nao ili walitie najisi hekalu langu. Wanyanganyi wataingia humo ndani na kulitia najisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitaugeuza uso wangu mbali nao, nao waovu wa dunia watapanajisi mahali pangu pa thamani. Wanyang’anyi watapaingia na kupanajisi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena nitaugeuza uso wangu usiwaelekee, nao watapatia unajisi mahali pangu pa siri; na wanyang'anyi wataingia humo na kupatia unajisi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uso wangu nitaugeuzia mbali nao ili walitie najisi hekalu langu. Wanyang'anyi wataingia humo ndani na kulitia najisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitageuza uso wangu mbali nao, nao waovu wa dunia watapanajisi mahali pangu pa thamani, wanyang'anyi watapaingia na kupanajisi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitageuza uso wangu mbali nao, nao waovu wa dunia watapanajisi mahali pangu pa thamani, wanyang’anyi watapaingia na kupanajisi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena nitaugeuza uso wangu usiwaelekee, nao watapatia unajisi mahali pangu pa siri; na wanyang'anyi wataingia humo na kupatia unajisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uso wangu nitaugeuzia mbali nao ili walitie najisi hekalu langu. Wanyanganyi wataingia humo ndani na kulitia najisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami nitaugeuza uso wangu, usipatazame, wakipachafua palipokuwa urembo wangu; ndipo, wanyang'anyi watakapopaingia, wapachafue.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena nitaugeuza uso wangu usiwaelekee, nao watapatia unajisi mahali pangu pa siri; na wanyang’anyi wataingia humo na kupatia unajisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitageuza uso wangu usiwaelekee; nitaachilia hekalu langu lichafuliwe. Wanyanganyi wataingia humo ndani na kulichafua.