Ezekiel 7:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nitayaleta mataifa mabaya sana nao watazimiliki nyumba zao. Kiburi chao nitakikomesha, na mahali pao pa ibada patatiwa unajisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitaleta taifa ovu kuliko yote kumiliki nyumba zao. Nitakomesha kiburi cha wenye nguvu na mahali pao patakatifu patatiwa unajisi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu hiyo nitawaleta watu wa mataifa walio wabaya kabisa, nao watazimiliki nyumba zao; tena nitakikomesha kiburi chao wenye nguvu; na mahali pao patakatifu patatiwa unajisi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nitayaleta mataifa mabaya sana nao watazimiliki nyumba zao. Kiburi chao nitakikomesha, na mahali pao pa ibada patatiwa unajisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitaleta taifa ovu kuliko yote ili kumiliki nyumba zao, nitakomesha kiburi cha wenye nguvu na mahali pao patakatifu patatiwa unajisi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitaleta taifa ovu kuliko yote ili kumiliki nyumba zao, nitakomesha kiburi cha wenye nguvu na mahali pao patakatifu patatiwa unajisi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu hiyo nitawaleta watu wa mataifa walio wabaya kabisa, nao watazimiliki nyumba zao; tena nitakikomesha kiburi chao wenye nguvu; na mahali pao patakatifu patatiwa unajisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nitayaleta mataifa mabaya sana nao watazimiliki nyumba zao. Kiburi chao nitakikomesha, na mahali pao pa ibada patatiwa unajisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami nitaleta walio wabaya kuliko wamizimu wengine, wazichukue nyumba zao; nayo majivuno yao wenye nguvu nitayakomesha, patakatifu pao pakitiwa uchafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu hiyo nitawaleta watu wa mataifa walio wabaya kabisa, nao watazimiliki nyumba zao; tena nitakikomesha kiburi chao wenye nguvu; na mahali pao patakatifu patatiwa unajisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitaleta watu wa mataifa mabaya sana nao watarizi nyumba zao. Nitakikomesha kiburi chao, na pahali pao pa kutambikia patachafuliwa.