Ezekiel 7:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ninachosema mimi Bwana Mwenyezi-Mungu ni hiki: Mtapatwa na maafa mfululizo!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: “ ‘Maafa! Maafa ambayo hayajasikiwa! Tazama, yanakuja!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana MUNGU asema hivi; Ni jambo baya, jambo baya la namna ya peke yake; angalia, linakuja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ninachosema mimi Bwana Mwenyezi-Mungu ni hiki: Mtapatwa na maafa mfululizo!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo: Maafa! Maafa ambayo hayajasikiwa yanakuja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: Maafa! Maafa ambayo hayajasikiwa yanakuja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bwana MUNGU asema hivi; Ni jambo baya, jambo baya la namna ya peke yake; angalia, linakuja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ninachosema mimi Bwana Mwenyezi-Mungu ni hiki: Mtapatwa na maafa mfululizo!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi ndivyo, Bwana Mungu anavyosema: Kibaya kimoja kitakapopita, mtaona, kibaya kingine kinakuja!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bwana MUNGU asema hivi; Ni jambo baya, jambo baya la namna ya peke yake; angalia, linakuja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Bwana wetu Yawe anasema hivi: Mutapatwa na hasara! Hasara isiyoonekana bado!