Ezekiel 7:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi wakazi wa nchi hii, maangamizi yenu yamewajia! Wakati umekuja; naam, siku imekaribia. Hiyo ni siku ya msukosuko na siyo ya sauti za shangwe mlimani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maangamizi yamekuja juu yenu, ninyi mnaoishi katika nchi. Wakati umewadia! Siku imekaribia! Kuna hofu kuu ya ghafula juu ya milima, wala si furaha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ajali yako imekujia, wewe ukaaye katika nchi hii; majira yamewadia, siku ile inakaribia; siku ya fujo, wala si ya shangwe milimani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi wakazi wa nchi hii, maangamizi yenu yamewajia! Wakati umekuja; naam, siku imekaribia. Hiyo ni siku ya msukosuko na siyo ya sauti za shangwe mlimani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maangamizi yamekuja juu yenu, ninyi mnaoishi katika nchi. Wakati umewadia, siku imekaribia, kuna hofu kuu ya ghafula, wala si furaha, juu ya milima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maangamizi yamekuja juu yenu, ninyi mnaoishi katika nchi. Wakati umewadia, siku imekaribia, kuna hofu kuu ya ghafula, wala si furaha, juu ya milima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ajali yako imekujia, wewe ukaaye katika nchi hii; majira yamewadia, siku ile inakaribia; siku ya fujo, wala si ya shangwe milimani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi wakazi wa nchi hii, maangamizi yenu yamewajia! Wakati umekuja; naam, siku imekaribia. Hiyo ni siku ya msukosuko na siyo ya sauti za shangwe mlimani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku yako mbaya inakuja ukaaye katika nchi hii; wakati unakuja, siku iko karibu, nayo ni ya mastuko, siyo ya kupiga vigelegele milimani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ajali yako imekujia, wewe ukaaye katika nchi hii; majira yamewadia, siku ile inakaribia; siku ya fujo, wala si ya shangwe milimani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi wakaaji wa inchi hii, maangamizi yenu yamekuja! Wakati umekuja, siku imekaribia. Hiyo ni siku ya makelele na siyo ya sauti za shangwe kwenye mulima.