Ezekiel 9:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa upande wangu, sitawaachia wala kuwahurumia; nitawatenda kadiri ya matendo yao.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo sitawahurumia wala kuwarehemu, lakini nitaleta juu ya vichwa vyao yale waliyoyatenda.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami, jicho langu halitaachilia, wala sitaona huruma; lakini nitaleta njia yao juu ya vichwa vyao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa upande wangu, sitawaachia wala kuwahurumia; nitawatenda kadiri ya matendo yao.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo sitawahurumia wala kuwaachilia lakini nitaleta juu ya vichwa vyao, yale waliyoyatenda.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo sitawahurumia wala kuwaachilia lakini nitaleta juu ya vichwa vyao, yale waliyoyatenda.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami, jicho langu halitaachilia, wala sitakuwa na huruma; lakini nitaleta njia yao juu ya vichwa vyao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa upande wangu, sitawaachia wala kuwahurumia; nitawatenda kadiri ya matendo yao.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, mimi nami jicho langu halitawaonea uchungu, wala mimi sitawahurumia, nitawapatilizia njia zao vichwani pao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami, jicho langu halitaachilia, wala sitaona huruma; lakini nitaleta njia yao juu ya vichwa vyao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa upande wangu, sitawaachilia wala kuwahurumia; nitawatendea kufuatana na matendo yao.