Ezra 1:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
bakuli ndogo za dhahabu 30; bakuli ndogo za fedha 410; vyombo vinginevyo 1,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mabakuli ya dhahabu yalikuwa thelathini; mabakuli ya fedha yaliyofanana yalikuwa mia nne na kumi; vifaa vingine vilikuwa elfu moja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mabakuli ya dhahabu thelathini, mabakuli ya fedha ya namna ya pili mia nne na kumi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
bakuli ndogo za dhahabu 30; bakuli ndogo za fedha 410; vyombo vinginevyo 1,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mabakuli ya dhahabu yalikuwa — 30 mabakuli ya fedha yanayofanana yalikuwa — 410 vifaa vingine vilikuwa — 1,000.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mabakuli ya dhahabu yalikuwa 30 mabakuli ya fedha yanayofanana yalikuwa 410 vifaa vingine vilikuwa 1,000.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mabakuli ya dhahabu thelathini, mabakuli ya fedha ya namna ya pili mia nne na kumi, na vyombo vingine elfu moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
bakuli ndogo za dhahabu 30; bakuli ndogo za fedha 410; vyombo vinginevyo 1,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
vinyweo vya dhahabu 30, vinyweo vya fedha vya namna ya pili 410, vyombo vingine 1000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mabakuli ya dhahabu thelathini, mabakuli ya fedha ya namna ya pili mia nne na kumi, na vyombo vingine elfu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
bakuli ndogo za zahabu makumi tatu, bakuli ndogo za feza mia ine na kumi, vyombo vingine elfu moja.