Ezra 1:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ifuatayo ndiyo hesabu yake: Bakuli 30 za dhahabu; bakuli 1,000 za fedha; vyetezo 29;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hii ilikuwa orodha ya vifaa: masinia ya dhahabu yalikuwa thelathini; masinia ya fedha yalikuwa elfu moja; vyetezo vya fedha vilikuwa ishirini na tisa;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hii ndiyo hesabu yake; sinia za dhahabu thelathini, sinia za fedha elfu, visu
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ifuatayo ndiyo hesabu yake: bakuli 30 za dhahabu; bakuli 1,000 za fedha; vyetezo 29;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii ilikuwa ndio orodha ya vifaa: masinia ya dhahabu yalikuwa — 30 masinia ya fedha yalikuwa — 1,000 vyetezo vya fedha vilikuwa — 29
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii ilikuwa ndio orodha ya vifaa: masinia ya dhahabu yalikuwa 30 masinia ya fedha yalikuwa 1,000 vyetezo vya fedha vilikuwa 29
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hii ndiyo hesabu yake; sinia za dhahabu thelathini, sinia za fedha elfu moja, visu ishirini na tisa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ifuatayo ndiyo hesabu yake: Bakuli 30 za dhahabu; bakuli 1,000 za fedha; vyetezo 29;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hii ndiyo hesabu yao: sinia za dhahabu 30, sinia za fedha 1000, visu 29;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hii ndiyo hesabu yake; sinia za dhahabu thelathini, sinia za fedha elfu, visu ishirini na kenda;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hii ndiyo hesabu yake: bakuli makumi tatu za zahabu, bakuli elfu moja za feza, vyetezo makumi mbili na tisa,